APRM Bara yapata Uongozi mpya.
- News and Events
- Feb 21, 2024
- 168 Views
APRM Tanzania tunapenda kutoa Pongezi na Hongera kwa Mhe. Balozi Marie-Antoinette Rose Quatre kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa APRM Bara. Balozi Rose Quatre, Raia wa Seychelles, analeta uzoefu mkubwa kwa APRM, ikiwa ni pamoja na...
IJUE APRM Tanzania
- News and Events
- Feb 20, 2024
- 207 Views
APRM ni kifupi cha African Peer Review Mechanism, ambapo ni Taasisi mojawapo za Umoja wa Mataifa (AU) na ni mpango wa hiyari wa kujipima na kujithamini kwa vigezo vya Utawala Bora APRM ni Taasisi ambayo inafanya kazi zake chini ya Wizara ya Mambo ya...
WAZIRI HAROUN: WIZARA NINAYOISIMAMIA KUWAPA MASHIRIKIANO APRM NI JAMBO LA MSINGI
- News and Events
- Oct 02, 2023
- 176 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara anayoisimamia ipo tayari kutoa mashirikiano yoyote yanayohitajika kwa Taasisi ya Mpango wa...
RC MJINI MAGHARIBI:APRM NI JUKWAA ZURI LA KUCHAKATA FIKRA ZA MAENDELEO NA TANZANIA KUPAA KIUTAWALA BORA DUNIANI
- News and Events
- Sep 19, 2023
- 148 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amesema kuwa APRM Tanzania ni jukwaa zuri ambalo linamgusa kila mdau Tanzania, hivyo amewataka watendaji wa APRM kuhakikisha kuwa taarifa wanazozitoa wanazichakata vizuri ziweze...
MHANDISI ZENA ASEMA UTOAJI WA TAARIFA ZA SMZ NI JAMBO LA MSINGI KATIKA KUKUZA UTAWALA BORA WA ZANZIBAR KIMATAIFA
- News and Events
- Sep 18, 2023
- 175 Views
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed amesema kuwa Ripoti za Tathmini za Utawala Bora ambazo zinaandaliwa na Taasisi ya Mpango wa Hiyari wa nchi za Umoja wa Afrika (APRM...
.jpg)



