BAJETI WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPITISHWA 100%
- News and Events
- May 28, 2024
- 180 Views
Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kuidhinisha jumla ya TZS. 𝟮𝟰𝟭,𝟬𝟲𝟵,𝟮𝟯𝟮,𝟬𝟬𝟬/- ili kuweza...
DIPLOMASIA YA UCHUMI YAPEWA MSUKUMO MPYA
- News and Events
- May 28, 2024
- 162 Views
Msisitizo wa Sera yetu ya Mambo ya Nje ni Diplomasia ya Uchumi. Ninayo furaha kulifahamisha Bunge lako kuwa, Wizara imekamilisha rasimu ya awali ya Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi. Mkakati huu umeianisha maeneo saba ya...
Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC~AU)
- News and Events
- May 27, 2024
- 182 Views
Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC~AU) katika Ukumbi wa Selous Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaaam (JNICC)
Baraza la Amani na Usalama la Afrika kwa Mwezi Mei 2024
- News and Events
- May 27, 2024
- 216 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Afrika kwa Mwezi Mei 2024 akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo.
The first day of the 6th APRM Annual Methodology Forum
- News and Events
- May 27, 2024
- 142 Views
The first day of the 6th APRM Annual Methodology Forum: National Structures Retreat, as we delve into the theme, "Enhancing Effectiveness of National Structures in the Delivering of the APRM Mandate."




.jpeg)