TADEA YARIDHISHWA NA UTAWALA BORA TANZANIA
- News and Events
- Sep 15, 2023
- 266 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ada Tadea ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe. Juma Ali Khatib amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika kuimarisha suala la demokrasia na siasa hali ambayo imepelekea Tanzania...
CCM YAKIRI UMUHIMU WA RIPOTI YA APRM KWA WANANCHI NA SERIKALI
- News and Events
- Sep 14, 2023
- 118 Views
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Mhe. Mohammed Said Mohammed (DIMWA) amesema kuwa mpango wa APRM Tanzania kuitathmini Serikali kwa vigezo vya Utawala Bora ni mzuri na unahitajika sana kuungwa mkono kwavile unalenga moja kwa moja kubaini changamoto...
SMZ BEGA KWA BEGA NA APRM TANZANIA KUELEKEA TATHIMINI YA PILI YA UTAWALA BORA
- News and Events
- Sep 12, 2023
- 184 Views
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena A. Said amesema kuwa APRM Tanzania ni chombo muhimu sana kukitumia kwa wananchi lakini pia kwa Serikali kwakuwa kinatumika kutathmini yale yote...
APRM YAFUNGULIWA MILANGO ZANZIBAR
- News and Events
- Aug 22, 2023
- 216 Views
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Muheshimiwa Othman Masoud Othman amesema kuwa uelewa wa wananchi ni muhimu sana katika suala la Utawala Bora, hivyo APRM Tanzania ina dhima kubwa ya kuhakikisha kuwa wanajitahidi kuhamasisha umma ili uelewe hadhi...
SERIKALI YASEMA KUELEKEA RIPOTI YA PILI YA TATHMINI YA UTAWALA BORA NI VITENDO TU
- News and Events
- Aug 06, 2023
- 160 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeridhia kwa vitendo kufanya Tathmini ya Pili katika masuala ya Utawala Bora Nchini na jambo hilo limekuja wakati muafaka kwa Tanzania kwavile inafanya vizuri katika masuala mbali mbali ya Kidemokrasia na...




