SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YAAHIDI KUSIMAMA NA APRM
- News and Events
- Aug 05, 2023
- 144 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kwa dhati kusimamia na kuendeleza masuala ya Utawala Bora Nchini na tayari imejipanga na kukubali kuandaa Ripoti ya Pili ya Tathmini ya masuala ya Utawala Bora Nchini.Kauli hiyo ameitoa Waziri...
KIKAO BAINA YA UONGOZI WA APRM Tanzania NA BAADHI YA VIONGOZI WA APRM MAKAO MAKUU
- News and Events
- Aug 02, 2023
- 182 Views
TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA MAKAO MAKUU YA APRM - AFRIKA KUSINI
- News and Events
- Aug 01, 2023
- 248 Views
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Hiari wa kujitathmini Kiutawala Bora Tanzania (APRM) Bw Lamau Mpolo amesema kuwa Tanzania imepokea ugeni kutoka makao makuu ya APRM Afrika kusini kwa lengo la kufuatilia maandalizi ya Ripoti ya Pili ya Tathmini ya...
CHUO CHA DIPLOMASIA CHAOMBWA KUSHIRIKIANA NA APRM TANZANIA
- News and Events
- Jul 14, 2023
- 192 Views
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wameombwa kuwa na ushirikiano wa karibu na Taasisi ya Mpango wa hiyari ya kujitathmini kiutawala Bora (APRM Tanzania) kwa kuwa Mabalozi wazuri wa kueneza taaluma walioipata kuhusu dhana ya APRMHayo yamesemwa na...
APRM TANZANIA YAKUTANA NA UNDP
- News and Events
- Jul 13, 2023
- 184 Views
Dar es salaamAfrican Peer Review Mechanism (APRM Tanzania) imekuatana na shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na tathmini ya Utawala Bora hususani katika kuelekea maandalizi ya Ripoti ya...




