BAJETI WIZARA YA MAMBO YA NJE YAPITISHWA 100%
Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kuidhinisha jumla ya TZS. ๐ฎ๐ฐ๐ญ,๐ฌ๐ฒ๐ต,๐ฎ๐ฏ๐ฎ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/- ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka huu wa Fedha 2024/2025.
Aidha kiasi cha TZS. ๐ฎ๐ฎ๐ต,๐ฐ๐ฏ๐ฑ,๐ด๐ฑ๐ฒ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/- ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na kiasi cha TZS. ๐ญ๐ญ,๐ฒ๐ฏ๐ฏ,๐ฏ๐ณ๐ฒ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/- ni Bajeti ya Maendeleo.


