SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala Bora
- News and Events
- Jul 23, 2025
- 116 Views
SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala BoraChuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini kwa vigezo vya utawala bora(APRM Tanzania), kwa lengo la kuimarisha...
RAIS WA SIERRA LEONE AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AFRIKA KUHUSU USHIRIKIANO WA NCHI ZA KUSINI KWA MAENDELEO ENDELEVU
- News and Events
- May 08, 2025
- 140 Views
Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amefungua rasmi Kongamano la Tatu la Viongozi wa Ngazi ya Juu wa Afrika kuhusu Ushirikiano wa Utatu wa nchi za Kusini-Kusini (South-South and Triangular Cooperation – SSTrC) kwa...
SUZA, APRM TANZANIA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA UTAWALA BORA
- News and Events
- Mar 27, 2025
- 170 Views
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini kwa Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika kufanya tathmini za utawala bora kwa maslahi ya...
APRM Tanzania na IRDP Zatia Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Kuimarisha Utawala Bora – Dodoma, Tanzania
- News and Events
- Mar 06, 2025
- 178 Views
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Hozea Mayaya, amesema kuwa APRM Tanzania ni taasisi muhimu kwa taifa, kwani tafiti zake zinachochea maendeleo katika nyanja mbalimbali nchini.Akifafanua zaidi kuhusu mchango wa APRM...
Kikao kazi baina ya Watendaji wa APRM Tanzania na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT)
- News and Events
- Oct 02, 2024
- 160 Views
Kikao kazi baina ya Watendaji wa APRM Tanzania na Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT), ambacho kinalenga kukuza ushirikiano na kuandaa Mpango Mkakati wa utekelezaji wa ushirikiano huo, kikao hicho kimefanyika katika kampasi ya Chuo hicho,...



.png)