Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Said Shaib Mussa ameupokea ujumbe kutoka APRM Bara
- News and Events
- Aug 28, 2025
- 56 Views
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Said Shaib Mussa ameupokea ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya Taasisi ya...
SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala Bora
- News and Events
- Jul 23, 2025
- 102 Views
SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala BoraChuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini kwa vigezo vya utawala bora(APRM Tanzania), kwa lengo la kuimarisha...
RAIS WA SIERRA LEONE AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AFRIKA KUHUSU USHIRIKIANO WA NCHI ZA KUSINI KWA MAENDELEO ENDELEVU
- News and Events
- May 08, 2025
- 118 Views
Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amefungua rasmi Kongamano la Tatu la Viongozi wa Ngazi ya Juu wa Afrika kuhusu Ushirikiano wa Utatu wa nchi za Kusini-Kusini (South-South and Triangular Cooperation – SSTrC) kwa...
SUZA, APRM TANZANIA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA UTAWALA BORA
- News and Events
- Mar 27, 2025
- 150 Views
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini kwa Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika kufanya tathmini za utawala bora kwa maslahi ya...
APRM Tanzania na IRDP Zatia Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Kuimarisha Utawala Bora – Dodoma, Tanzania
- News and Events
- Mar 06, 2025
- 152 Views
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Hozea Mayaya, amesema kuwa APRM Tanzania ni taasisi muhimu kwa taifa, kwani tafiti zake zinachochea maendeleo katika nyanja mbalimbali nchini.Akifafanua zaidi kuhusu mchango wa APRM...



