Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Ofisi ya Msajili wa Hazina lengo ikiwa ni kujadili namna gani APRM inaweza kusaidiana na Ofisi hiyo katika kuisaidia Serikali ya Tanzania kwenye kuzisimamia shughuli pamoja na mazungumzo na taasisi zinazoshughulika na tathmini za uwezo wa nchi kukopesheka Kimataifa.
#creditratings #creditratingagency #creditratingmission















