Ujumbe wa Wataalamu wa APRM umekutana na Wizara ya Fedha Tanzania
- News and Events
- Aug 29, 2025
- 82 Views
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Wataalamu wa Wizara ya Fedha kwa lengo la kujadiliana mambo mbalimbali pamoja na kuwajengea uwezo ili kuboresha...
Mkurugenzi Mtendaji wa APRM ashiriki Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Mashirika ya Umma (Wenyeviti na Wakurugenzi Wakuu) jijini Arusha
- News and Events
- Aug 29, 2025
- 102 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa APRM, Mheshimiwa balozi Marie-Antoinette Rose Quatre alishiriki Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Mashirika ya Umma (Wenyeviti na Wakurugenzi Wakuu) wa mwaka 2025 uliofanyika jijini Arusha kuanzia Agosti 23 - 26, ukiwa na kaulimbiu...
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Wataalamu wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)
- News and Events
- Aug 29, 2025
- 80 Views
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Wataalamu wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA).Lengo ni kujadiliana masuala mbalimbali na kuwajengea uwezo ili...
Ujumbe wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)
- News and Events
- Aug 29, 2025
- 72 Views
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Watendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), kwa lengo la kujadiliana namna...
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka APRM umekutana na Watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
- News and Events
- Aug 29, 2025
- 66 Views
Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo kujadiliana namna mbalimbali zitakazosaidia mamlaka hiyo...




