APRM Tanzania inatoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa na Mhe Rais kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
APRM Tanzania inaahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kutimiza malengo ya nchi Kitaifa na Kimataifa.
