Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Wataalamu wa Wizara ya Fedha kwa lengo la kujadiliana mambo mbalimbali pamoja na kuwajengea uwezo ili kuboresha misingi ya majadiliano wanapokutana na Wakala wa Ukadiliaji wa uwezo wa nchi kukopesheka kimataifa (Credit Rating Agencies).
#creditratings #creditratingagency #creditratingmission


















