APRM Tanzania inatoa pongezi kwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi.
APRM Tanzania inaahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kutimiza malengo ya nchi Kitaifa na Kimataifa.


