News & Media

Ujumbe kutoka APRM Bara umekutana na Wataalamu wa Masuala ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania(BOT)

Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Wataalamu wa Masuala... [...]

Aug 28, 2025

Ujumbe kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF)

Ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM umekutana na Mwakilishi Mkazi wa... [...]

Aug 28, 2025

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Said Shaib Mussa ameupokea ujumbe kutoka APRM Bara

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Said Shaib Mussa ameupokea  ujumbe wa Wataalamu... [...]

Aug 28, 2025

SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala Bora

SUZA na APRM kushirikiana katika Tafiti za Utawala BoraChuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya... [...]

Jul 23, 2025

RAIS WA SIERRA LEONE AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA AFRIKA KUHUSU USHIRIKIANO WA NCHI ZA KUSINI KWA MAENDELEO ENDELEVU

Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amefungua rasmi Kongamano la Tatu la Viongozi wa Ngazi ya Juu wa Afrika kuhusu... [...]

May 08, 2025