News & Media

MHANDISI ZENA ASEMA UTOAJI WA TAARIFA ZA SMZ NI JAMBO LA MSINGI KATIKA KUKUZA UTAWALA BORA WA ZANZIBAR KIMATAIFA

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed amesema kuwa Ripoti za Tathmini za... [...]

Sep 18, 2023

TADEA YARIDHISHWA NA UTAWALA BORA TANZANIA

Mwenyekiti wa Chama cha Ada Tadea ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe. Juma Ali Khatib amesema kuwa Tanzania... [...]

Sep 15, 2023

CCM YAKIRI UMUHIMU WA RIPOTI YA APRM KWA WANANCHI NA SERIKALI

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Mhe. Mohammed Said Mohammed (DIMWA) amesema kuwa mpango wa APRM Tanzania kuitathmini Serikali kwa vigezo vya Utawala... [...]

Sep 14, 2023

SMZ BEGA KWA BEGA NA APRM TANZANIA KUELEKEA TATHIMINI YA PILI YA UTAWALA BORA

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena A. Said amesema kuwa APRM Tanzania ni chombo... [...]

Sep 12, 2023

APRM YAFUNGULIWA MILANGO ZANZIBAR

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Muheshimiwa Othman Masoud Othman amesema kuwa uelewa wa wananchi ni muhimu sana katika suala la Utawala Bora,... [...]

Aug 22, 2023