Mwenyekiti wa Baraza la Uendeshaji la Taifa toka APRM (Tanzania) Prof. Hasa Mlawa (kushoto) akitoa neno la utangulizi kwa Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa taarifa ya Kujitathmini Kiutawala Bora kwa nchi ya Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

RIPOTI YA APRM YAING’ARISHA TANZANIA KIUTAWALA BORA