Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea ripoti ya tathmini ya mpango wa kujitathmini kiutawala bora Afrika (APRM), kutoka kwa Katibu Mtendaji wa mpango huo Tanzania Bi. Rehema Twalib. Katikati ni mweyekiti wa mpango huo Tanzania Bw. John Shibuda.

Maalim Seif Asifu Juhudi za APRM Tanzania