Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Afrika kwa Mwezi Mei 2024 akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo.