APRM ni mojawapo ya Taasisi za Umoja wa Afrika. APRM ni kifupi cha African Peer Review Mechanism - Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika Kujipima kwa Vigezo vya Utawala Bora. Mpango huu ulibuniwa na viongozi wa Umoja wa Afrika mwaka 2003 ili kuziwezesha nchi wanachama kujitathmini kwa vigezo vya utawala bora katika maeneo makuu manne ambayo ni: