Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar (ZITF) 2026