APRM YATOA ELIMU KATIKA SHULE KUU YA UANDISHI WA HABARI NA MAWASILIANO KWA UMMA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM JUU YA SHUGHULI INAZOZIFANYA NA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Timu ya APRM Tanzania ilipata nafasi ya kutoa Elimu katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (School of Journalism and Mass Communication) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu majukumu ya APRM hususan kukuza na kuimarisha dhana ya Utawala Bora na ushiriki wa Vijana katika Maendeleo ya Taifa
_1016_677shar-30brig-10.jpg)
_1016_677shar-30brig-10.jpg)

_500_500shar-50brig-20_c1.jpeg)
